Mtaa wa Mchikichi/Sikukuu, Kariakoo, Dar es Salaam
5G 5G Accessories& General Supplies Agiza
Kariakoo · Mtaa wa Mchikichi/Sikukuu

Accessories na mahitaji ya kila siku, sehemu moja.

Mikanda, saa, radio, kofuli, chaja, earphones, miwani na bidhaa nyingine nyingi. Ulizia bei kwa WhatsApp au fika dukani.

Nembo ya 5G Accessories & General Supplies
Saa
Earphones

Agiza kwa WhatsApp

Tuma jina au picha ya bidhaa.

Uliza bei

Tunakujibu bei na upatikanaji.

Bidhaa nyingi

Accessories na general supplies.

Duka Kariakoo

Mtaa wa Mchikichi/Sikukuu, Dar es Salaam.

Makundi ya bidhaa

Chagua kundi kuona bidhaa zake.

Bidhaa zetu

Bei hubadilika. Bonyeza "Uliza bei" tukujibu kwa WhatsApp.

MitindoMikanda

Mikanda

Mikanda ya ngozi ya aina na saizi mbalimbali.

Uliza bei
MitindoSaa

Saa

Saa za mkono za kila siku na za mitindo.

Uliza bei
MitindoMiwani ya jua

Miwani ya jua

Miwani ya jua ya mitindo tofauti.

Uliza bei
Vifaa vya simuChaja na nyaya

Chaja na nyaya

Chaja na nyaya za simu za aina mbalimbali.

Uliza bei
Vifaa vya simuEarphones

Earphones

Earphones na earbuds za simu.

Uliza bei
NyumbaniRadio

Radio

Radio ndogo za nyumbani na za kubeba.

Uliza bei
UsalamaKofuli

Kofuli

Kofuli na funguo kwa milango, makabati na mizigo.

Uliza bei

Na bidhaa nyingine

Wallet na bidhaa nyingine za matumizi ya kila siku. Tutumie picha au jina.

Tuulize

Hakuna bidhaa inayolingana. Tuulize kwa WhatsApp, huenda tunayo.

Unatafuta bidhaa nyingine?

Wallet na bidhaa nyingine nyingi za matumizi ya kila siku. Tutumie picha au jina la bidhaa, tutakujibu.

Tuma picha

Mawasiliano

Tupigie, tuandikie au fika dukani.

Karibu dukani kwetu

Ulizia bei na upatikanaji wa bidhaa kwa simu au WhatsApp, au fika dukani Kariakoo.

Pata maelekezo